Nyumbani
JIMBO KUU LA DODOMA
PAROKIA YA MT. FRANSISKO KSAVERI
Chuo kikuu cha Dodoma- UDOM

Hii ni parokia ya Chuo kikuu cha Dodoma - UDOM, Parokia ina vigango sita(6), vitano(5) vikiwa ni vya wanachuo na kimoja(1) kikiwa ni cha waamini wasio wanachuo.
Vigango hivyo ni:
Kigango cha Mt. Petro Damiano - Ngo'ngo'na
Kigango cha Mt. Anthony Maria Zakaria - TIBA
Kigango cha Bikira Maria mkingiwa dhambi ya asili - COED
Kigango cha Mt. Fransisko wa Asizi - Informaticts
Kigango cha Mt. Yohane Mvuvi - Social
Kigango cha Mt. Berdo - Humanities
12:00 Asubuhi
Kanisani - Ngo'ngo'na
Mt. Anthony Maria Zakaria
2:30 Asubuhi
Lecture room 4 - Tiba
Bikira Maria mkingiwa dhambi ya asili
1:30 Asubuhi
Lecture room 2 - Education
Kigango cha Mt. Fransisko wa Asizi
3:30 Asubuhi
Block 3 Laundry - Informatics
Kigango cha Mt. Yohane Mvuvi
1:30 Asubuhi
Cafeteria 2 - Social
Kigango cha Mt. Bernado
1:30 Asubuhi
Lecture room 4 - Humanities
-
2018-06-04 11:13:47
MISA YA SOMO WA PAROKIA
Kutakua na misa ja somo wa parokia siku ya tarehe 03/12/2017 katika ukumbi wa informatics wote mnakaribishwa.
-
2018-06-04 11:13:47
ZAKA
Waamini tunakumbushwa kulipa zaka kama biblia inapoelekeza, zaka ni agizo la Mungu.
-
2018-06-04 11:13:54
SEMINA
Kutakua na semina ya ujasiliamali na utoaji itakayofanyika tarehe 24/11/2017 katika kigango cha social na edukation kuanzia saa 3:00 asubuhi
-
2018-06-04 11:13:54
KUSAIDIA WAHITAJI
Kutakua na kikao cha halmashauri ya walei parokia siku ya jumamosi ya tarehe 11/11/2017 saa 3:00 asubuhi katika kigango cha informatics, asiwepo wa kukosa tafadhali.